Ankara kwa mwezi Oktoba 2019

Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira inapenda kuwatangazia kua Ankara za maji kwa mwezi Oktoba 2019 tayari zimeshatoka. Hivyo kwa wale ambao hawatapokea ujumbe mfupi wa simu (SMS) kuonesha deni la maji, wanaombwa kufika ofisini ili kurekebisha taarifa za simu, kujua na kulipia Ankara husika. Aidha mteja anaweza kuangalia taarifa zake za bili na malipo kwa kubonyeza ukurusa ufuatao

ANGALIA ANKARA YAKO HAPA

N.B

Tunaendelea kuwakumbusha wateja wote ambao wanaodaiwa, wanapaswa kulipia Ankara zao ili kuepuka kupata usumbufu wa kusitishiwa huduma ya maji na kufikishwa Mahakamani.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*