Zawadi nono (Bingo) …

Katika jitihada za kukomesha vitendo vya wizi wa maji, Mamlaka ya MAjisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya UWSA), imeandaa zawadi kwa kila atakae sadia kuonesha mwananchi au mteja ambae anaiba wizi wa maji. Wizi huu unaweza kuwa kwa mtu kujiunganishia maji kinyume na utaratibu (illegal connection), Kuichezea dira ya maji n.k.

Kwa sasa Mamlaka inatoa kiasi cha Sh. 100,000/= kwa atakae saidia kuonyesha mtu au mteja wa tabia hii. Aidha Mamlaka inawaomba wanachi kutoa ushirikiano ili kulinda miundo mbinu ya maji kwa kutoa taarifa mbali za mivujo ya maji. Kwa mawasiliano zaidi tunaomba upige simu kwa namba yetu ya bure (0800780050)

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*