Zoezi la kukata maji kwa wasiolipia Ankara zao

Tunawatangazia kua kutakua na zoezi endeleve la kukata maji kwa wateja ambao hawajalibia bili zao. Zoezi hili ni endelevu. Ili kuepuka usumbufu wa gharama za kuunganishwa tena, watumiaji wote wa maji tunaomba mlipie bili zenu za maji. Kuangalia deni lako la maji, fungua ukurasa huu. [Angalia ankara].

Malipo yote yafanyike kwa kupitia Mawakala wa Benki ya NMB, Max Malipo, au Kwa njia ya MPESA.

ANGALIZO

Epuka kumkabidhi mtu pesa mkononi kwa ajili ya kulipia huduma za maji. Kwa maelezo zaidi piga simu bure namba: +255 784 800076 / 0800780050

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*