MBEYA UWSA Yapata Uongozi Mpya

Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa amemteua Mhandisi Ndele Mengo kukaimu nafasi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya amepokea kijiti kutoka kwa Mhandisi Simon Shauri anayemaliza muda wake wa utumishi. Makabidhiano yamefanyika mbele ya Mwenyekiti wa Bodi Dkt Lwitiko Mwakalukwa.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*